Duniani

Kwenye magari makali kabisa yatakayoingia sokoni 2016, usipitwe na hii Lexus mpyampya… (Pichaz)

on

lexus-lx-570_100521961_m

Najua kuna watu ni wapenzi wa magari mazuri mazuri, kwa sababu kila siku tunaona kuna aina mpya ya magari ambayo yanatambulishwa Duniani, nimeipata hii ya leoleo nikaona hata nisiikawize, na wewe mtu wa nguvu kama ungependa kujua  kitu kipya kutoka Lexus basi uipate hii.

lexus-lx-570_100521981_m

Muonekano wa siti ya dereva na abiria wake wa mbele.

2016-lexus-lx-570_100522024_m

Nyuma ya siti ya dereva na abiria wa mbele kuna hizi siti… watu wawili wanakaa hapo poa kabisa.

Magari ya Lexus hata kwa hapa TZ yana watumiaji wengi sana, unajua wanajipangaje 2016 hawa jamaa? Hizi ni pichaz ambazo zimegusa headlines mitandaoni na mimi zimenivutia pia.. unaweza kuona pichaz nyingine za Lexus LX570 hapa, nje mpaka ndani.

2016-lexus-lx-570_100522026_m

Nyuma ya siti kuna TV kubwa kabisa.

2016-lexus-lx-570_100522027_m

Siti zina uwezo wa kujikunja pia.

2016-lexus-lx-570_100522028_m

2016-lexus-lx-570_100522030_m

lexus-lx-570_100521952_m

lexus-lx-570_100521953_m

lexus-lx-570_100521954_m

lexus-lx-570_100521955_m

lexus-lx-570_100521956_m

Lexus LX570 muonekano wa mbele kwenye ubora wake kabisa yani.

lexus-lx-570_100521957_m

lexus-lx-570_100521958_m

lexus-lx-570_100521963_m

lexus-lx-570_100521964_m

lexus-lx-570_100521967_m

lexus-lx-570_100521973_m

lexus-lx-570_100521975_m

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments