Top Stories

Rais Magufuli alivyomgeuzia kibao Waziri Lugola “acha kuwaonea Polisi wanafanya kazi” (+video)

on

Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amemtaka Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola kushughulikia suala la mgogoro wa familia moja, ambayo iko gerezani kufuatia ugomvi wa familia uliohusisha suala ardhi, na kupelekea mmoja wao kufungwa jela.

Rais Magufuli amesema watu wanashtakiana ndugu kwa ndugu unataka Polisi wangu wafanye nini, mtu akienda na Panga kwenye mgogoro wa ardhi OCD afanyaje, OCD wewe fuata sheria, tena nakupongeza, saa nyingine wabaya wanakuja kwako Waziri kumchongea OCD, ila nimuombe ndugu aifute kesi mwenzake ameteseka sana

MTOTO MDOGO ALIVYOMFURAHISHA MAGUFULI, AMPA USHAURI JUU YA WANAUME

Soma na hizi

Tupia Comments