Breaking News

BREAKING: Nyumba za Lugumi zaanza kununuliwa, Bilionea aliechukua 3 kaibuka na sendoz

on

Kuna zile nyumba za Said Lugumi ambazo zilitangazwa kwamba zinapigwa mnada na kwa kipindi flani watu hawakujitokeza kuzinunua ikadhaniwa labda bei ndio iko juu sana ila leo amejitokeza jamaa mmoja akanunua 3.

Alienunua nyumba hizo kwenye mnada ni Dr. Luis Shika ambae aliibuka mnadani akiwa kavaa simple tu, shati na tai na suruali alafu chini kapiga sendoz…. kwenye mnada huo alinunua nyumba 3 ikiwemo moja ya Upanga Dar es salaam na mbili za Mbweni ambazo moja ni Milioni 700 na nyingine Bilioni 1.1

Dr. Luis

Soma na hizi

Tupia Comments