AyoTV

Maswali Magumu yalivyojibiwa kirahisi na Mpoki

on

Moja kati ya watu mastaa Tanzania ambao ni wagumu kufanya nao interview ni mchekeshaji Mpoki ambaye mara kadhaa amekuwa na tabia ya kutoa majibu kama ya utani flani hivi, Mpoki alikuwa sehemu ya wageni waliyoalikwa katika sherehe ya uzinduzi wa Perfume ya Haji Manara wa Simba SC.

STEVE NYERERE AIBUKA KWA MANARA: ”MUACHE AJIPONGEZE KWA KIPIGO”

Soma na hizi

Tupia Comments