AyoTV

LIVE: Waziri Mkuu wa Ethiopia na Rais Magufuli Ikulu DSM, tazama hapa

on

Waziri mkuu wa Ethiopia, Hailemariam Desalegn ameanza ziara ya kikazi ya siku mbili nchini Tanzania, ambapo pamoja na mambo mengine mwenyeji wake rais Dk. John Magufuli, wanatarajia kutiliana saini mikataba kadhaa ya ushirikiano wa kiuchumi na biashara. Unaweza kufuatilia LIVE kwa kubonyeza play hapa cchini

Soma na hizi

Tupia Comments