Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Libya: Wakazi walioathiriwa na mafuriko mjini Derna waandamana
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Libya: Wakazi walioathiriwa na mafuriko mjini Derna waandamana
Top Stories

Libya: Wakazi walioathiriwa na mafuriko mjini Derna waandamana

September 19, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mamia ya wakaazi wa Derna nchini Libya, ulioathiriwa na mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu zaidi ya Elfu tatu na kuwaacha maelfu bila makaazi, wameandamana, kulishtumu Bunge Mashariki mwa nchi hiyo na kutaka wale wote ambao hawakuajibika kuzuia janga hilo kuajibishwa.

Waandamanaji hao wametuhumu kiongozi wa bunge la eneo la mashariki Aguila Saleh,na mamlaka kwenye eneo hilo kwa kutowajibikia mafuriko hayo ambayo yamesababisha vifo vya karibia watu elfu nne kwa mujibu wa takwimu za umoja wa mataifa.

Katika taarifa ya pamoja, waandamanaji hao walisema wanataka uchunguzi wa haraka kufanyika kuhusu janaga hilo na sheria kuchukuliwa dhidi ya viongozi watepetevu.

Pia walidai fidia, uchunguzi juu ya fedha za jiji na ujenzi wa Derna.

You Might Also Like

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’

Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF

GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA September 19, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Aweka rekodi ya Guinness kwa tattoo nyingi za jina la binti yake mwilini,ameandika mara 667
Next Article Mbunge Cherehani ampongeza waziri Bashe kwa mafanikio ya kilimo cha tumbaku Shinyanga
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?