Breaking News

BREAKING: Polisi wameondoka na Tundu Lissu Mahakamani leo

on

Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amechukuliwa na Polisi wakati akitokea Mahakamani akitakiwa Kituo Kikuu cha Polisi baada ya kumaliza shughuli za Mahakamani.

Tundu Lissu alikuwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwenye kesi ya uchochezi inayomkabili lakini pia alikuwa Wakili kwenye kesi ya Yericko Nyerere.

Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene amesema kuwa wakati gari la Lissu likiwa getini tayari kutoka eneo la Mahakama baada kumaliza shughuli za Mahakama lilisimamishwa na Polisi ambao baadhi walimfuata na kumwambia yuko chini ya ulinzi na kutakiwa kwenda Central Police.

ULIPITWA? TUNDU LISSU AFICHUA KILICHOCHELEWESHA BOMBADIER KUFIKA 

SERIKALI YAFAFANUA ALICHOSEMA LISSU KUHUSU BOMBADIER KUKAMATWA!!!

Mbunge Msukuma kamjibu Tundu Lissu kuhusu Bombardier!!!

Soma na hizi

Tupia Comments