AyoTV

VIDEO: Msimamo wa Stand United kuhusu wachezaji ambao kocha Liewig hapatani nao

on

Baada ya headlines za muda mrefu kuhusu kocha mfaransa anayeifundisha Stand United Patrick Liewig  kutokuwa katika maelewano mazuri na wachezaji wake ikiwemo Elias Maguli na Haruna Chanongo, ripota wa millardayo.com alimpata katika exclusive interview mwenyekiti wa Stand United Amani Vicent ili aeleza ukweli au msimamo wao kuhusu wachezaji hao  watawaacha au wataendelea kuwa nao msimu ujao.

“Mwalimu Patrick Liewig yeye ni kocha kimsingi tulitegemea kupata ripoti yake ila tulichogundua kulikuwa na watu wanampotosha, hivyo tulivyowaruhusu Chanongo na Ubwa waende TP Mazembe mwalimu hakupenda, kuhusu Elias Maguli nae ni hivyo alitaka kwenda kufanya majaribio Zamalekh jambo ambalo mwalimu halikumpendeza, lakini ukweli sisi kama Stand United tutaendelea nao”

ALL GOALS: TAIFA STARS VS MISRI JUNE 4 2016, FULL TIME 0-2

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments