Videos

VIDEO: Kauli ya Prof Lipumba kuhusu nafasi yake CUF

on

Licha ya headlines za migogoro ya chama cha siasa CUF kuendelea kutawala kufuatia chama hicho kutangaza kuwavua uanachama baadhi ya wanachama wake akiwemo Profesa Ibrahim  Lipumba leo September 30 2016 Lipumba amekutana na waandishi wa habari Dar es salaam na kusisitiza kuwa yeye bado ni mwenyekitihalali wa CUF na haoni wasiwasi wa  kuendelea kukaa kwenye ofisi za chama hicho.

ULIMIS HII YA MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU MGOGORO WA CUF

Soma na hizi

Tupia Comments