Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Lifti ya gari ilivyofungua mlango kwa Rais Samia
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Lifti ya gari ilivyofungua mlango kwa Rais Samia
Top Stories

Lifti ya gari ilivyofungua mlango kwa Rais Samia

June 27, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

“Hapa kuna watu wametoa ushuhuda na mimi nataka nitoe wangu. Mimi mwenzenu nilijiunga na EOTF mwaka 1997 nikiwa kama mmoja wa Bodi ya Wadhamini ni kiwa kijana kisichana machachari sana lakini nilipata breki yangu Mama Mkwizu ndiye aliyenishika mkono akaniambia wewe tulia hapa.
–
Nilifanya kazi pamoja na Bodi kwa miaka mitatu hadi 2000 nikaingia mambo ya siasa, na iliyoniingiza kwenye siasa ni hiyo EOTF.
–
Nakumbuka siku moja tulikuwa tunakwenda kuwatembelea wakina Rugimbana kijijini kwao Chamanzi, kulikuwa na kijiji cha vijana na wakati watu wote wanaingia kwenye magari mimi nilikuwa nimezubaa… Mama alikuwa kwenye gari akaniona nimezubaa akaniuliza wewe Mpemba vipi nikamwambi magari yamenikimbia akaniambia ingia humu.
–
Wakati niko kwenye gari akaniambi wewe unafaa uingie kwenye siasa, nika mwambia naazia wapi akasema niulize wenzangu wameingiaje na ndipo mwaka 2000 nikaingia Baraza la Wawakilishi na baadaye Waziri, Makamu wa Rais na sasa niko hapa.— Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa Sherehe ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote.

You Might Also Like

Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko

International Marathon yaacha historia Zanzibar

Nane Nane Morogoro, Shaka apongeza jitihada za Wizara ya Mifugo na Uvuvi

Mfahamu Panya Kennedy anayebeba Camera kama Binadamu ‘Anarekodi Matukio vitani’ (video+)

Video: Kinyozi ahukumiwa Jela miaka 30, kosa kumpa mimba Mwanafunzi

TAGGED: TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA June 27, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 27, 2022
Next Article Mwana FA aonya migogoro mipya ishu ya mirabaha
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?