Michezo

Ligi Kuu Italia hatma yake kujulikana May 28

on

Baada ya kuwa katika mazungumzo kwa miezi miwili sasa kuangalia namna ya kumalizia msimu wa Ligi Kuu Italia Serie A 2019/20 kutokana na kusimama sababu ya Corona.

Waziri wa michezo Italia Vincenzo Spadafora asema uamuzi utafanywa May 28 lakini michezo Italia imesimama hadi June 15.

Hata hivyo serikali nchini Italia imeruhusu timu hizo kuanza mazoezi katika makundi madogo madogo lakini kwa upande wa shirikisho la soka la  Italia (FIGC) lenyewe limeweka wazi msimu hautamalizika zaidi ya August 20 na msimu wa 2020/20 utaanza September 1 2020.

Soma na hizi

Tupia Comments