Michezo

Ligi Kuu kurejea “Mashabiki hawaingii uwanjani” Wamiliki vibanda umiza wajipanga (+video)

on

Wamiliki wa vibanda vya kuonyeshea mpira maarufu kwa jina la vibanda umiza mkoani Morogoro wameanza maandalizi ya kukabiliana na wingi wa wateja baada ya kusikia uwezekano wa kuruhusu kuendelea kwa ligi kuu Tanzania bara pasipo kuwa na mashabiki uwanjani.

CORONA YASABABISHA BENKI KUU KUSHUSHA RIBA NA AMANA

Soma na hizi

Tupia Comments