Michezo

Ligi Kuu kurudi June mosi

on

Ligi Kuu ya soka pamoja na michezo mingine yote iliyosimamishwa kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya corona, itarejea uwanjani kuanzia Juni mosi, ikiwa ni siku kumi kuanzia leo.

Ligi Kuu ilisimamishwa Mach 17, siku moja baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza mtu wa kwanza kugundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa huo ulioua zaidi ya watu 320,000 kote duniani na kuambukiza zaidi ya watu milioni 4.1.

JPM amessema hali ya maambukizi imepungua na wagonjwa hospitalini wamepungua na hivyo kuamua kuruhusu michezo.

“Mungu amesikia maombi yetu, tena amesikia kweli Hakuna Taifa ambalo linamtegemea Mungu halafu likashindwa” JPM

LIVE: MAGUFULI AFANYA MAAMUZI MAGUMU “VYUO VIFUNGULIWE, FORM SIX WARUDI SHULE, LIGI IANZE”

Soma na hizi

Tupia Comments