Leo May 23, 2018 AyoTV na millardayo.com inakuletea stori kuhusu hali ya biashara ya madini baada ya serikali kujenga ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite uliopo wilayani Simanjiro mkoani Arusha ambapo wamesema umesababisha bei ya madini hayo kupanda kwa asilimia 30 tangu mwezi December mwaka jana.
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanunuzi na Wauzaji wa Madini nchini (TAMIDA) amezungumza Bonyeza PLAY hapa chini kutazama na kumsikiliza.