Top Stories

“Lijualikali utakua jua baridi ebu njo hapa uongee” Rais Magufuli “piga nondo” (+video)

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli amempa nafsi aliekuwa Mbunge wa CHADEMA Lijualikali azungumze Mkoani Morogoro “Nimefurahi kumuona Lijualikali, leo atakuwa Lijualibaridi, ebu njoo usalimie kidogo, salimu kidogo acha kusoma wewe piga nondo najua umehamia umeanza na kupendeza”.

DUUH: PROF. JAY AMVUNJA MBAVU RAIS MAGUFULI MKUTANONI, AWATAKA WANANCHI WAMPIGIE MAKOFI NA SHANGWE

Soma na hizi

Tupia Comments