Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Lil Wayne amekiri kushirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100,mwaka 2007
Share
Notification Show More
Latest News
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Lil Wayne amekiri kushirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100,mwaka 2007
Entertainment

Lil Wayne amekiri kushirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100,mwaka 2007

May 10, 2023
Share
2 Min Read
SHARE

Lil Wayne amekiri kwamba mwaka 2007 alishirikishwa kwenye ngoma zaidi ya 100, kiasi ambacho akiwasha redio kwenye gari lake, redio yoyote anayoweka basi lazima akutane na sauti yake!

Wayne alifunguka note katika Mahojiano  na Elliott  kwenye kipindi  cha Uncensored

Wayne alisema mwaka 2007 na 2008, alifikia kuwa kama rapper mkuu kwani  Albamu yake ya mwaka ya 2008 ya Tha Carter III, ilibaki kuwa kenye chati ya Billboard 200 kwa wiki tatu mfululizo. Lakini mwaka mmoja kabla ya hapo, Wayne alikuwa na ngoma  nyingi akishirikiana na karibu kila wimbo maarufu wa 2007.

Mnamo 2007, aliona nyimbo sita alizoshirikishwa kwenye  the Land 100, ambazo zilijumuisha nyimbo 15 bora kama vile “Sweetest Girl (Dollar Bill)” ya Wyclef Jean (Na. 12  na “Duffle Bag Boy” ya Playaz Circle ilishika Na. 15 .

Pamoja na nyimbo zilizotajwa hapo juu, Wayne pia aliongelea kuhusu featured verses Kwenye  nyimbo kama vile “Lock U Down” ya Mya na “We Takin Over” ya DJ Khaled na Akon, T.I., Rick Ross, Fat Joe, na Birdman.

February 27, 2023 rapper  Lil Wayne aliingia kwenye gumzo baada ya  kusema kuwa yeye ndiye G.O.A.T. Yaani “Greatest Of All Times” kia rappers wore duniani

Weezy alisema hayo wiki moja baada ya interview  kwenye podcast ya Muziki ya Apple ya Zane Lowe, ambapo mada ya Rapa 50 bora kwenye billboard wa muda Wote  iliyochapishwa Februari 8na  ilipotoka na kwa mshangao wayne aliingia kwenye #7

Na kwenye list hiyo alikuepo  Biggie, Eminem, Tupac, Nas, Kendrick Lamar na Jay-Z mbele yake, lakini Wayne aliomba kutofautiana na hao wote, hasa miongoni mwa wale ambao bado wapo kwenye game na moja kwa moja, yeye ni namba 1 na ni mkuu kuliko wao.

Ukifuatilia upande wa mtandao wa  Twitter inaonekana wengi wanakubaliana na dhana kwamba Wayne, kwa kweli, ni bora kuliko Jay-Z katika masuala ya uwezo wa kurap na ukweli ni kwamba, Weezy bado yuko kwenye chart ya mwaka wa 2023 tofauti na jay-z alipo sasa.

You Might Also Like

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

Beyonce atoa pongezi za muziki kwa idol wake marehemu Tina Turner.

Marekani kuzingatia vikwazo vya visa kuhusu sheria ya Uganda dhidi ya mashoga

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA May 10, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Twitter kuondoa akaunti ambazo hazijatumika kwa muda mrefu.
Next Article Uturuki yaongeza mishahara ya wafanyikazi wa umma kwa 45%
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?