AyoTV

VIDEO: Linah amewataja Wabunge anaowakubali…vipi kuhusu Vyeti feki?

on

Staa wa Bongofleva Linah ambaye anatamba na wimbo wa ‘Upweke’ akiwa na Mr. Kesho amefunguka kuhusu muelekeo wa maisha yake katika muziki akielezea pia mipango yake ya maisha ya kifamilia hasa baada ya kutarajia kupata mtoto siku chache zijazo.

Ayo TV na millardayo.com zimekutana na Linah na Mr. Kesho ambao mbali na sanaa ya muziki wamegusia pia siasa na suala la Vyeti feki huku pia akiwataja wanasiasa ambao wanawakubali ambao ni pamoja na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Prof Jay’ na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’.

Baada ya ‘WAPE’ Bongolos wanakuja na hii kutoka Bongo Records

Soma na hizi

Tupia Comments