Habari za Mastaa

Linah kaitaja kashfa ambayo hatoisahau maishani mwake….

on

Ni headlines za msanii Linah Sanga ambae leo August 9, 2016 amefunguka na kutaja kashfa ambayo hatoweza kuisahau maisha mwake.

Msanii huyo ameipa heshima millardayo.com & Ayo TV na kuyaongea haya>>>’Kashfa ambayo iliwahi kuniumiza na sitoisahau ni ile niliyoambiwa nimebakwa wakati si Lina mimi bali ni Lina mwingine’-

Kiukweli ile habari jinsi ilivyokuwa inaandikwa kwenye mitandao mbalimbali iliweza kuenea sana hadi nilipigiwa simu na wazazi wangu pamoja na watu wangu wa karibu kiukweli nilikosa raha, ni mwaka 2013 baadae nilivyokuja kubaini nikakuta si kweli bali ni mtu mwingine ambae tunafanana majina’- Lina

Msikilize zaidi Lina kwa kubonyeza play hapa chini

ULIIKOSA HII YA DARASA KUHUSU KAULI YA LINA KUTAMANI KUZAA NA MWANAUME KAMA MWENYE SIFA ZAKE BASI ISIKILIZE HII AUDIO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments