Habari za Mastaa

Video: Linnah kafunguka kuwa anatamani Darassa angekuwa Baba watoto wake

on

June 13 2016 kuna story nyingi za Entertaiment zimechukua Headlines na moja kati ya story za Entertaiment ambazo zimechukua Headlines ni hizi kutoka Perfecto TV,  mrembo kutoka bongoflevani Linnah amefunguka kuwa anatamani kuwa Rapper Darassa anagekuwa Baba watoto wake.

Naweza ni kasema kuwa kutokana na tabia alizonazo Darassa anastahili kuwa baba maana nimekaa na Darassa kwa muda mfupi lakini nimemkubali sana, nimemuona ni mtu flani ambaye namkubali sana yaani Darassa ana kila kitu ambacho mimi natamani Boyfriend wangu angekuwa nazo‘>>>LinnahIMG_20160613_163600

Mtu wangu hili kuzipata story zote ambazo zimechukua Hedlines leo June 13 2016 kwenye Perfecto TV nimekuwekea hapa chini Video kuzitazama zote

ULIMISS HII YA DIAMOND PLATNUMZ HATAISAHAU COMMENT MBAYA INSTAGRAM ITAZAME HAPA CHINI..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments