Michezo

Kabla ya mechi ya Simba Vs Yanga! kutana na Line up na picha za wanavyoingia taifa

on

Baada ya kujichimbia visiwani Zanzibar kwa klabu za Simba na Yanga kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi yao, naomba nikusogezee list ya vikosi vya timu hizo vinavyotarajia kuanza pamoja na wachezaji wa akiba kwa timu zote mbili. Baada ya Simba kurejea na timu yake kutoka Unguja na Yanga wamepanga kikosi hiki baada ya maandalizi yao waliofanya katika kambi yao waliokuwa wameiweka Pemba.

DSC_0151

Justice Majabvi wa Simba akishuka katika basi la wachezaji

DSC_0145

Mwinyi Kazimoto

DSC_0137

Hassan Ramadhani

Kikosi cha Simba

 1. Peter Manyika 35
  2.Hassan Ramadhani 4
  3. Mohamed Hussein 15
 2. Hassan Isihaka 26
 3. Juuko Murshid 6
  6. Justice Majabvi 28
  7. Said Ndemla 13
  8. Mwinyi Kazimoto 8
  9. Mussa Mgosi 11 C
  10. Hamis Kizza 5
  11. Awadh Juma 16

Wachezaji wa akiba Simba

1. Vicent Angban 22
2. Ibrahimu Migomba23
3. Peter Mwalyanzi 3
4. Pape Ndaw 25
5. Simon Sserunkuma 7
6. Abdi Banda 24
7. Jonas Mkude 20

Kocha mkuu: Dylan Kerr     Kocha msaidizi: Selemani Matola

Kikosi cha Yanga

 1. Ally Mustapha Bartez 1
 2. Mbuyu Twite 6
 3. Haji Mwinyi 20
 4. Nadir Haroub 23
 5. Kelvin Yondani 5
 6. Thaban Kamusoko 13
 7. Saimon Msuva 27
 8. SalumTelela 2
 9. Amissi Tambwe 17
 10. Donald Ngoma 11
 11. Haruna Niyonzima 8

Wachezaji wa akiba wa Yanga

 1. Deogratius Munishi 30
 2. Deus Kaseke 4
 3. Andrey Coutinho 7
 4. Vincent Bossou 9
 5. Juma Abdul 12
 6. Malimi Busungu 16
 7. Said Juma 22

Kocha mkuu: Hans van der Pluijm   Kocha msaidizi: Charles Boniface Mkwasa

DSC_0117

Malimi Busungu wa Yanga akishuka katika basi la timu

DSC_0107

Amissi Tambwe

DSC_0094

Nahodha wa Yanga Nadir Haroub

DSC_0129

Saimon Msuva

DSC_0021

vituko vya mashabiki wa Simba nje ya Uwanja kabla ya kuingia ndani

DSC_0015

DSC_0009

Mlangoni wanapoingia mashabiki

DSC_0069

DSC_0074

foleni ya mashabiki wanaoingia uwanjani

DSC_0085

DSC_0043

DSC_0062

Mkuu wa idara ya Habari Simba Haji Manara akiingia uwanjani

DSC_0134

Mkuu wa idara ya Habari Yanga Jerry Muro

Tupia Comments