Habari za Mastaa

Kama una harusi hivi karibuni,Hii inakuhusu toka kwa Linex

on

Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi wanajaribu kufikiria upande mwingine wa kuweza kupata shilingi,Miongoni mwa hao ni Linex.

linengaLinex leo kwenye ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe ambao unawahusu wachumba wanaotegemea kuoana ambapo yeye katangaza rasmi kujihusisha na utungaji wa nyimbo ambao utakuhusu wewe na mwenzi wako,Ujumbe wake kwenye Facebook ulisomeka hivi.

image.pngHii ni hatua nyingine ya wasanii wa Tanzania kutengeneza soko lingine la muziki kuna wale ambao huwa wanauza T-shirt zenye nembo ya nyimbo zao ambazo huwa mpya au za zamani.

Tupia Comments