Habari za Mastaa

Hivi ndivyo ulivyokuwa usiku wa Wema kwa Ubaya ndani ya Club 71

on

.

.

Ni usiku wa kuamkia Oct 20  ambapo mashabiki wa bongofleva kutoka maeneo mbali mbali waliojitokeza kwa wingi ‘kumpa shavu’ msanii Linex katika ukumbi wa Club 71 Kibo Complex uliopo maeneo ya Tegeta Dar es Salaam.

Katika party hiyo iliyopewa jina la ‘Wema kwa Ubaya Night’, Linex alipewa kampani ya nguvu kutoka kwa Country Boy, Kajala Masanja, Bob Junior,Tuddy Thomas,Nay  wa Mitego na Quick Rocka.

 

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook

Tupia Comments