Habari za Mastaa

Unatumia facebook?, basi hii inakuhusu kutoka kwa Linex.

on

linex2

Kama wewe ni mtumiaji mzuri wa facebook na pia ni shabiki wa Linex mkali wa Kimugina.

Basi hii post inakuhusu sana na imetoka kwa Linex mwenyewe.linex

“Kwa Jina naitwa Sunday Mangu Nimeichagua juma pili cos nimezaliwa jumapili Kuanzia Juma pili hii Ntakua naitumia Kila Juma pili kuchat na watu wangu FB maswali kushariana kujadili jambo wanna be close wit u(Friend) tutakua pia tunakumbushana kama vijana nn tufanye majadiliano kuhusu mahusiano na urafiki je wazo langu liko sawa??? Itakua ni kuanzia saa 1; 00 mchana mpaka saa 4;00 jion aksanteni wenu katika kazi Linex”

Tupia Comments