AyoTV

VIDEO: Alichokiongea Waziri mkuu Majaliwa kuhusu wahusika wa mauaji ya askari

on

Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali imejipanga kuongeza ulinzi wa nchi na kuahidi kuwakamata wale wote waliohusika katika matukio ya mauaji ya askari na wananchi wa kawaida yaliyotokea katika siku za karibuni.

Hivi karibuni kumekuwa na matukio ya mauaji ya raia na askari wetu, serikali imesikitishwa sana kwa jambo hili la kukatishwa maisha kwa raia wema hivyo tumeendelea kuwasaka na tutahakikisha tunawakamata wahusika wote na kuwatia mikononi‘ –Waziri Mkuu Majaliwa

Nawahakikishia watanzania kuwa serikali ipo macho na itaimarisha ulinzi katika maeneo yote na niombe kila mtu ashirikiane na vyombo vya dola katika kudhibiti matukio ya hovyo yanayoendelea kujitokeza‘ –Waziri Mkuu Majaliwa

Full video nimekuwekea hapa chini ..

ULIMIS WAZIRI MKUU MAJALIWA VS FREEMAN MBOWE BUNGENI LEO

Soma na hizi

Tupia Comments