Mix

Mambo 14 makubwa ya Maalim Seif kuhusu RITA, Msajili, Prof. Lipumba leo

on

Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad leo June 28, 2017 amekutana na Waandishi wa Habari DSM kuzungumzia mustakabali wa Chama akisema Msajili wa Vyama vya Siasa anaihujumu CUF kwa kutumia Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA).

Haya hapa mambo makubwa 14 Maalim Seif ameyazungumza kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa, Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini RITA na Mwenyekiti anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili Prof. Lipumba.

FULL VIDEO: Maalim Seif amekutana na Waandishi wa Habari leo DSM na kuzungumza nao huku akiituhumu RITA na Msajili wa Vyaa vya Siasa kwa kusema kuwa wanaihujumu CUF…hii hapa FULL VIDEO unaweza kuitazama kwa kubonyeza PLAY!!!

Soma na hizi

Tupia Comments