Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: VIDEO: Taarifa iliyotolewa kuhusu kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa CUF
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
March 27, 2023
Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro
March 27, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > VIDEO: Taarifa iliyotolewa kuhusu kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa CUF
Mix

VIDEO: Taarifa iliyotolewa kuhusu kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa CUF

September 26, 2016
Share
2 Min Read
SHARE

Baada ya baadhi ya vyombo vya habari kuripoti taarifa kuwa chama cha wananchi CUF kimeandaa kikao cha baraza kuu la uongozi la Taifa kesho jumanne 24 september 24 2016 ofisi za Vuga Zanzibar.

Leo September 26 2016 akisoma taarifa kwa niaba ya naibu katibu mkuu wa CUF, Prof. Lipumba amesema taarifa hizo sio za kweli na hakuna kikao halali cha kamati ya utendaji ya taifa kilichokaa kuandaa kikao cha baraza kuu.

Taarifa hiyo ya Naibu katibu mkuu wa CUF Tanzania bara imesema kuwa hivi sasa katibu mkuu Maalimu Seif Sharif Hamad yuko nje ya nchi. Kufuatana na katiba ya CUF yeye ndiye mwenye mamlaka ya katibu mkuu kwa sababu naibu katibu mkuu wa CUF, Tanzania bara kikatiba ndiye msaidizi namba moja wa katibu mkuu kama navyoeleza katiba ya CUF ya 1992 toleo la 2014 kifungu cha 95 (3).

Taarifa hiyo ya naibu katibu mkuu wa CUF, Magdalena Sakaya imeeleza kuwa…….

>>>’Mimi sijaitisha wala sina taarifa ya kikao cha kamati  ya utendaji kilichofanyika Zanzibar, kwa taarifa nilizonazo hakuna wajumbe wa kamati ya utendaji kutoka Bara waliokua Zanzibar wakati wa kikao hicho. Nachukua nafasi kuwajulisha wajumbe wote wa baraza kuu kuwa hakuna kikao chochote cha baraza kuu kilichoandaliwa na kamati ya utendaji ya Taifa ambayo kikatiba mimi ndiye mwenyekiti wake wakati katibu mkuu hayupo’.

ULIKOSA ALIYOYAZUNGUMZA PROF. LIPUMBA BAADA YA KUINGIA MAKAO MAKUU CUF? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

You Might Also Like

USAID Breakthrough ACTION Launches SPARK Program

Wataalam wa maji watoa wito wa kukabiliana na uhaba wa maji

Kamati ya Bunge ya Miundombinu imeridhishwa na ujenzi wa BRT

Waziri Mkuu awataka vijana na Wanawake kuchangamkia program ya IMBEJU

AudioMPYA: Joshua Ngelendo anakualika kusikiliza “Jemedari”

TAGGED: siasa
Millard Ayo September 26, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VideoFUPI: Mabasi ya haraka yalivyogongana yenyewe kwa yenyewe DSM
Next Article VIDEO:Takwimu zilizotolewa kuhusu vifo kwenye ajali za barabarani kwa miaka mitatu
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana
Top Stories March 27, 2023
Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.
Top Stories March 27, 2023
Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya
Top Stories March 27, 2023
Aliyemzushia DAS taarifa za uongo Jela kifungo Mwaka mmoja
Top Stories March 27, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris awasili nchini Ghana

March 27, 2023
Top Stories

Kenya:Mmoja auawa kwa kupigwa risasi kwenye vurugu za maandamano kisumu.

March 27, 2023
Top Stories

Katibu Tawala msaidizi Mkoa wa Morogoro awaagiza hili watumishi wa Halmashauri za Wilaya

March 27, 2023
Top Stories

Waziri Nape kufungua Mkutano wa Wahariri Mkoani Morogoro

March 27, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?