Top Stories

Lipumba afunguka Magufuli kutunukiwa Shahada ya heshima (+video)

on

Mwenyekiti wa CUF-Taifa Prof.Lipumba amesema ni jambo jema kwa Chuo Kikuu Cha UDOM kumtunuku Shahada ya Heshima Rais Magufuli lakini ameviomba Vyuo Vikuu kuwatazama na Watu wa Vyama vya Upinzani pia wakati wa utoaji wa Shahada hizo za heshima.

“Tuko Wanasiasa tumekuwa kwenye shughuli hizi tumevunjwa mikono na tunaendelea kupambana na Demokrasia na sisi wangetuona kwamba hata Watu wa Upinzani wanastahili kupewa Shahada hizi za Heshima”- Lipumba

MAHAKAMA YAMUACHIA HURU BABA LEVO, WAKILI WAKE AONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments