Top Stories

Lipumba Tabora “Kijana anakosa hela ya kitumbua, kilimo 10% ya Bajeti ya Serikali” (+video)

on

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba ameomba ridhaa kwa wakazi wa Tabora ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akiwaahida wakazi wa Tabora kuweka kipaumbele kwenye Sekta ya Kilimo kwa asilimia 10 mpaka 15 ya bajeti ya serikali.

“Asilimia 10 mpaka 15 ya Bajeti ya Serikali tutaipeleka kwenye Sekta ya Kilimo, hatuwezi pata maendeleo kwenye kilimo kama Serikali haitengi hela kwenye Sekta hiyo, Vijana wanakosa hela ya kula vitumbua wanaishia kuviangalia” Prof. Lipumba

Soma na hizi

Tupia Comments