Habari za Mastaa

Lisha ya Tems kushirikishwa kwenye collabo ya Drake na Future ila hajaonekana katika video

on

Ni Headlines za Mkali kutokea Nigeria, Tems ambae leo ameingia katika vichwa vya habari baada ya kusikika katika collabo mpya ya Drake na Future ya wimbo uitwao Wait for u.

Sasa kilichowashangaza wengi ni kwamba japo Tems ameshirikishwa katika collabo hiyo ila hajaonekana katika video ya wimbo huo.

Sababu za kutoonekana bado hazijajulikana na hapa unaweza ukabonyeza play kushuhudia video hiyo mpya ya wimbo aliyoshirikishwa Tems.

Tupia Comments