Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Mimi na Dr. Slaa hatukusaliti vyama vyetu, tulisimamia misingi yetu” – Prof. Lipumba
Share
Notification Show More
Latest News
Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
May 31, 2023
Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano
May 31, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Stori Kubwa > “Mimi na Dr. Slaa hatukusaliti vyama vyetu, tulisimamia misingi yetu” – Prof. Lipumba
Stori KubwaTop Stories

“Mimi na Dr. Slaa hatukusaliti vyama vyetu, tulisimamia misingi yetu” – Prof. Lipumba

May 4, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa CUF Prof. Ibrahim Lipumba amesema kuwa wasaliti ni waliomleta Lowassa ndani ya UKAWA na sio yeye na aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Dr. Slaa kwa sababu walikuwa walisimamia misingi ya vyama vyao kama inavyosemwa.

Akizungumza kupitia Clouds 360 ya Clouds TV May 4, 2017, Prof. Lipumba amesisitiza kuwa aliwahi kumwambia Dr. Slaa kuwa anataka kugombea urais kupitia UKAWA, lakini naye Dr. Slaa alikuwa na nia hiyo.

“Mimi na Dr. Slaa hatukusaliti vyama vyetu, tulisimamia misingi yetu halisi ya vyama. Waliotusaliti ni wale waliomleta Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Siyo sisi ambao tulijitoa ndani ya vyama vyetu.

“Nilizungumza na Dr. Slaa kuwa nilikuwa nataka kugombea Urais kupitia UKAWA-CUF, Dr. Slaa pia alihitaji kugombea.” – Prof. Lipumba.

VIDEO: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo May 4, 2017

You Might Also Like

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

TAGGED: CUF, lipumba, siasa za Tanzania
Victor Kileo TZA May 4, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Waziri Lukuvi amemsimamisha kazi Afisa Mipango Miji Lindi
Next Article PICHA 8: Ulipofikia ujenzi wa Daraja la Furahisha, Mwanza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)
Top Stories May 31, 2023
Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo
Top Stories May 31, 2023
Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana
Top Stories May 31, 2023
Katibu wa CCM Daniel Chongolo atoa siku 10 kwa Waziri wa Maji kukamilisha mradi wa maji katika Wilaya ya Kilolo
Top Stories May 31, 2023

You Might also Like

Top Stories

Rafiki wa MC aliyejirusha ghorofani atoweka, aacha ujumbe mzito (+video)

May 31, 2023
Top Stories

Bilioni 4 zimetengwa kwa Wabunifu, watapewa Milioni 50+ watakaokidhi vigezo

May 31, 2023
Top Stories

Isaac anayedaiwa kumng’oa Jino mke wake afikishwa Mahakamani, anyimwa Dhamana

May 31, 2023
Top Stories

Rais Mwinyi azindua kamati ya maridhiano

May 31, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?