AyoTV

EXCLUSIVE: Mdogo wake Tundu Lissu azungumzia tukio la Lissu kushambuliwa

on

Wakati mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akiendelea na matibabu Nairobi, Kenya kufuatia kuumizwa kwa risasi na watu wasiojulikana waliomvaniwa akiwa nyumbani kwake Dodoma September 7, 2017, AyoTV na millardayo.com zimempata mdogo wake Tundu Lissu, Vincent Lissu ambapo amesema kama familia tukio la Lissu kushambuliwa kwa risasi limewashtua sana. Unaweza kubonyeza play hapa chini kuitazama 

ULIKOSA HII YA GWAJIMA KUFUNGUKA KUHUSU ISHU YA LISSU KUPIGWA RISASI NA KUONGOZA MAOMBI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments