Top Stories

Lissu amlilia Mbunge wa CCM aliefariki “alinipia niende Nairobi, alitoa dola” (+video)

on

Mgombea Urais kupitia chama Cha CHADEMA Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Njombe katika Viwanja vya National Housing ametoa pole kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Mpendae Salim Turk ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo.

“Wakati nilipopata matatizo, Marehemu Salim Turky alimuendea Mwenyekiti Mbowe akamwambia Mwenyekiti mimi nitatoa dola za Marekani laki moja ili ndege ipatikane mimi nipelekwe Nairobi” Tundu Lissu

 

Soma na hizi

Tupia Comments