Top Stories

Lissu: Magufuli amejenga barabara na sisi tutajenga vilevile (+video)

on

Urais wa Tanzania (CHADEMA) Tundu Lissu amesema iwapo atashinda Urais kwenye uchaguzi wa October 28, Serikali atakayoiongoza itajenga barabara za Vijijini ili Wakulima wasafirishe mazao kwa urahisi “utajiri wa Nchi hii unatokana na kilimo”

“Maendeleo ya Watu sio kwamba hatutojenga barabara, kila Serikali ya dunia hii inajenga barabara, Nyerere alijenga za kwake, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Magufuli amejenga, tukiingia madarakani na sisi tutajenga vilevile” – Tundu Lissu

Soma na hizi

Tupia Comments