Breaking News

BREAKING: Lissu aongea kwa mara ya kwanza toka apigwe risasi, msikilize hapa

on

Wengi wamekua wakisubiria kuisikia sauti yake akiongea mwenyewe baada ya kulazwa Hospitali na kutoonekana wala kusikika toka alipopigwa risasi nyumbani kwake Dodoma, bonyeza play hapa chini kumsikiliza Lissu mwanzo mpaka mwisho.

UMEPITWA? Camera kwenye eneo alikopigwa risasi Tundu Lissu imeondolewa – Mbowe….. play hapa chini

Tupia Comments