Ad

AyoTV

VIDEO: Lissu na Sugu tena Bungeni

on

Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo 2017/2018 na kati ya waliopata nafasi ya kuwasilisha maoni yao ni pamoja na Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi.

EXCLUSIVE: MUME MPYA WA FLORA AFUNGUKA 

Soma na hizi

Tupia Comments