Usiku wa tuzo za CAF uliofanyika nchini Misri katika jiji la Cairo umemalizika kwa kushuhudia watu mbalimbali wakishinda tuzo, Sadio Mane wa Liverpool akiibuka mchezaji bora wa mwaka kwa kuwashinda MO Salah wa Liverpool na Riyad Mahrez wa Man City.
Sadio Mane wa Liverpool na timu ya taifa ya Senegal ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora Afrika 2019 #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/jV8YYn6C4Q
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Golikipa wa zamani wa Togo Kodjovi Obilale aliyepewa tuzo maalum, alistaafu soka 2010 akiwa na miaka 26 kufuatia kushambuliwa kwa bus la Togo nchini Angola na kupata ulemavu wa maisha, katika ajali hiyo alikuwa Adebayor na Vincent Bossou aliyewahi kucheza Yanga #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/zlUvNV0je8
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Kikosi bora cha mwaka 2019
๐จ๐ฒ @AndreyOnana
๐จ๐ฎ @Serge_aurier
๐จ๐ฒ Joel Matip
๐ธ๐ณ @kkoulibaly26
๐ฒ๐ฆ @AchrafHakimi
๐ธ๐ณ @IGanaGueye
๐ฉ๐ฟ #RiyadMahrez
๐ฒ๐ฆ Hakim Ziyech
๐ช๐ฌ #MoSalah
๐ฌ๐ฆ @Aubameyang7
๐ธ๐ณ #SadioMane pic.twitter.com/mBGUhwgNG5
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Achraf Hakim wa Real Madrid aliyepo kwa mkopo Borussia Dortmund ndio mshindi wa tuzo ya mchezaji bora kijana 2019 #CafAwards2019 #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/xQGAw0AuZx
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Timu ya taifa ya wanawake ya Cameroon ndio imeshinda tuzo ya timu bora ya taifa ya wanawake 2019 #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/wZPWjecOwB
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Timu ya wanaume ya taifa ya Algeria ndio imeshinda tuzo ya timu bora ya taifa ya mwaka 2019, Algeria mwaka 2019 ndio waliibuka Mabingwa wa AFCON 2019 #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/WDokxcsoOh
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
Kocha wa Algeria aliyeipa Ubingwa wa AFCON 2019 nchini Misri Djamel Belmadi ametangazwa kocha bora wa Afrika kwa mwaka 2019 #CafAwards2019 #MillardAyoSPORTS pic.twitter.com/brAomvWUvy
โ millardayo (@millardayo) January 7, 2020
AUDIO: MSUVA HUYO KWENYE VITABU VIPYA VYA HISTORIA, ATUA URENO