Habari za Mastaa

“Rammy Galis hawezi kuwa Kanumba” – Director John Lister (+video)

on

Director wa siku nyingi kwenye Bongomovie John Lister ameweka wazi upande anaosimamia kuhusu habari za kwamba Mwigizaji Mkali Rammy Galis ameliziba pengo la Marehemu Steven Kanumba.

Kwenye Exclusive Interview na AyoTV na millardayo.com Lister amezungumzia pia tofauti ya bongomovie zamani na sasa lakini pia hata maamuzi ambayo yeye alichukua baada ya kuona bongomovie ikielekea kwenye upande anaouita ‘bigijii’ bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

GIGY MONEY: “NILIUZA MWILI WANGU ILI NIMLIPIE MAMA DENI LA BENKI” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA GIGY

EXCLUSIVE: HISTORIA YA GIGI MONEY “BABA POLISI MAMA MHALIFU” BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments