Top Stories

Mambo 8 makubwa Tundu Lissu amezungumza mbele ya Wanahabari

on

Chama cha Demokrasia na Maendeleo ‘CHADEMA’ leo August 17 2017 kupitia kwa Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika na Mwanasheria wake Tundu Lissu, amekutana na Waandishi wa Habari na kuzungumzia kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo la Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji.

Licha ya kuzungumza mambo mengi haya hapa mambo 8 makubwa aliyoyazungumza Tundu Lissu mbele ya Wanahabari.

 

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments