Mix

VIDEO:”Tuunganishwe kwenye ile kesi kama wadaiwa, tutainunua ile kesi”-Tundu Lissu

on

Wagombea Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika TLS, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na Lawrance Masha wamekutana na waandishi wa habari leo March 9 2017 ili kuzungumza mambo mbalimbali kuhusu uchaguzi wa rais wa chama cha wanasheria Tanganyika ambapo wameiomba Mahakama iwaunganishe kwenye kesi inayopinga uchaguzi wake. Unaweza kubonyeza play hapa chini

FULLVIDEO: Mdogo wa Gwajima kuhusu kaka yake kuhoji vyeti vya Makonda

VIDEO: ‘Hata mke wangu sasa wanasema sio raia’- Paul Makonda,

Soma na hizi

Tupia Comments