Stori Kubwa

‘Unganeni mnaosema wadhaifu wasaidieni wapate nguvu’ Tundu Lissu

on

May 1 2017 kupitia taarifa ya habari ya Chanel 10 Mmoja wa mawakili wa kujitegemea nchini Tundu Lissu amewahimiza wafanyakazi nchini kupitia vyama vyao vya wafanyakazi kuhakikisha wanashikamana kudai haki zao za msingi ili tija wanayotoa iendane na mapato.

Amezungumza hayo akiwa mkoani Dodoma wakati alipokutana na wanachama washirikisho wa vyama huru vya wafanyakazi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wafanyakazi Duniani ambapo amesema…

>>>”Nchi hii inaonea sana wafanyakazi ukiangalia ile salary sleep ya mfanyakazi yoyote watanzania karibu asilimia hamsini ya mshahara wa mfanyakazi ni makato.

“Unganeni jengeni nguzo hawa mnaosema wazaifu wasaidieni wapate nguvu, baadhi ya vyama vyenu pamoja na uchache wenu mkijipanga sawa sawa mtakuwa na nguvu” – Tundu Lissu

VIDEO: Taarifa ya Habari ya AzamTv leo May 1 2017

Soma na hizi

Tupia Comments