AyoTV

FULL VIDEO: Dr Tulia, Naibu Waziri Wambura walivyozindua michezo Mbeya

on

Waliosema MICHEZO ni afya hawakukosea ambapo July 9, 2017 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura alizindua mashindano ya mpira wa miguu pamoja na mpira wa pete yaani ‘netball’ katika Wilaya ya Rungwe, Mbeya yaliyoandaliwa na taasisi ya Tulia Trust inayomilikiwa na Naibu Spika Dr. Tulia Ackson. Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: MBEYA: Dr. Tulia na Nape kwenye Tulia Marathon 

Soma na hizi

Tupia Comments