AyoTV

VIEDO: Onesho la Mbwa na Farasi kwenye sherehe za Muungano Dodoma

on

Sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zimefanyika leo April 26, 2017 mjini Dodoma ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli.

Moja ya mambo yaliyotia fora katika sherehe hizo ni onyesho la Mbwa na Farasi ambapo walionesha namna gani wanaweza kutumiwa katika ulinzi.

Bonyeza play kutazama hapa chini… 

VIDEO: Makomando wakionyesha uwezo mbele ya JPM kwenye sherehe za Muungano. Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments