AyoTV

VIDEO: ‘Wananchi wanataka Bunge LIVE’ -Upendo Peneza

on

Mbunge wa viti maalum CHADEMA Upendo Paneza ameshauri serikali kuruhusu matangazo ya bunge kurushwa moja kwa moja (Bunge live) ili kusaidia wananchi kujua kwa urahisi mambo yote yanayojadiliwa bungeni tofauti na ilivyo sasa.

Peneza amesema…>>>‘Kuna masuala ya ndoa za utotoni, uelewa wa watu wameweza kubadilika, kuna ripoti ya TWAWEZA ya mwaka 2012 inaonesha masuala ya ukeketaji yamepungua kwa asilimia 21 na inatokana na mchango wa bunge

Wananchi wamekuwa wakifuatilia bunge wameweza kubadilika na kuona kuna haja ya kupunguza masuala ya ukeketaji na hii ni kutokana na mchango wa bunge’ –Upendo Peneza

Kama wanawake sasa kuna haja ya kusimama na kuweza kudai hili suala la Bunge LIVE’ –Mbunge Upendo Peneza

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Tunakataa viroba lakini hatukubali hatua zinazochukuliwa’ -Mbunge Shabiby 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments