Top Stories

LIVE: Baada ya kutangazwa rasmi kuwa Mgombea Urais 2020, JPM anazungumza

on

Muda huu Rais Magufuli anahutubia Wajumbe katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma baada ya kupitishwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania 2020, bonyeza PLAY hapa chini kutazama LIVE.

JPM: “SIWEZI KUONGOZA MPAKA DUNIA IISHE, MBONA WEWE HUKUFANYA HIVYO”

Soma na hizi

Tupia Comments