Inawezekana umejiuliza kuhusu ukimya wa saa kadhaa toka ulipoona picha na video za aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili walipofikishwa Mahakamani leo Arusha kusubiria hukumu yao dhidi ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, taarifa ikufikue tu kwamba tayari hukumu yake imeanza kusomwa, tazama video hii hapa chini