Habari za Mastaa

LIVE: Idris Sultan amuomba radhi Rais Magufuli “kama ile picha ilikukera” (+video)

on

Mchekeshaji Idris Sultan ameita Waandishi wa Habari leo Dar es alaam kutaka kufikisha ujumbe kwa Watanzania ikiwa ni siku chache zimepita toka aitwe Polisi na kushikiliwa kwa saa kadhaa kutokana na kuifanyia ‘ukatuni’ kwa nia ya kuchekesha picha ya Rais Magufuli siku ya birthday yake, bonyeza play hapa chini kumtazama LIVE

VANESSA MDEE NA MPENZI WAKE STUDIO ZA TYLER PERRY, BONYEZA PLAY HAPA CHINI 

MZEE ALIEJITENGENEZA UMEME NJOMBE, KASAMBAZA KWA MAJIRANI, ELFU 5 KWA MWEZI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI 

Soma na hizi

Tupia Comments