Top Stories

LIVE: Jamaa wameiba Bilioni 1 na zaidi ya Milioni 300, wamekamatwa wakitapanya mali (+video)

on

Jeshi la Polisi limewakamata Wafanyakazi wanne wa Kampuni ya Ulinzi ya G4S Security wanaodaiwa kutoroka na Bilioni 1.28, Dolla za kimarekani 402,000 pamoja na Euro 27, 700 mali ya benki ya NBC.

Taarifa za Jeshi la Polisi zinadai kuwa walinzi hao walikabidhiwa fedha kutoka Tawi la NBC Kariakoo kwa ajili ya kuzipeleka Makao Makuu ya Benki hiyo yaliyoko Posta ya zamani, Sokoine Drive, badala yake wakatokomea nazo maeneo ya Temeke Maduka.

DAAH! MZUNGU AMVUNJA MBAVU MAGUFULI AKITAJA KERO ZA WATENDAJI “WATU HOI KICHEKO”

Soma na hizi

Tupia Comments