Top Stories

Live kutoka Dodoma Rais Magufuli akifungua mkutano mkuu wa CCM 2020 muda huu

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.John Pombe Magufuli anaongoza mkutano mkuu wa CCM katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma muda huu.

Bonyeza play hii video kutazama live tukio hilo kutokea Dodoma.

 

Soma na hizi

Tupia Comments