LIVE

LIVE: Kutoka Mahakamani hukumu ya Mbowe na Viongozi wenzake CHADEMA

on

Mahakama ya Kisutu leo March 10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.

MBOWE AHUKUMIWA KWENDA JELA AU MILIONI 350, KESI YA MAUAJI YA AKWILINA HAIHUSIKI

Soma na hizi

Tupia Comments