Magazeti

LIVE MAGAZETI: Polisi Dar waua saba watuhumiwa ujambazi, Rage alivyodakwa na TAKUKURU

on

Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya ni kubonyeza ‘SUBSCRIBE‘ ili uwe unapata notification kila habari mpya inapowekwa.

Bonyeza hapa chini kusomewa Magazeti ya leo May 26, 2020 na Bakari Chijumba

DAWA YA CORONA TANZANIA YAULIZIWA UINGEREZA, AMERICA “TUMEIPELEKA KWA NDEGE, MKEMIA MKUU KAIPITISHA”

Tupia Comments